Je! Ni Kiwango Gani cha Mafanikio ya utoaji mimba kwa Njia ya Kunyonya ua Kufyonza (MVA)?
Inapofanywa na wataalamu wa afya waliofunzwa, Njia ya Kunyonya ua Kufyonza (MVA) ni asilimia tisini na tisa bora.
Homoni ya ujauzito hupungua haraka baada ya MVA, lakini bado inachukua muda kwa homoni kurudi katika hali ya kawaida. Kipimo chako cha nyumbani cha ujauzito kinapaswa kuwa hasi baada ya wiki ~ mbili. [1]
[1] “Sasisho za kitabibu katika afya ya uzazi.” Ipas, 2020, www.ipas.org/wp-content/uploads/2020/08/ClinicalUpdatesInReproductiveHealthCURHE20-English-digital.pdf. Accesed November 2020.
Maswali Yanayoulizwa mara kwa mara wakati wa utoajia mimba na MVA
- Je! Ni Kiwango Gani cha Mafanikio ya utoaji mimba kwa Njia ya Kunyonya ua Kufyonza (MVA)?
- Je! Kutoa Mimba kwa Njia ya kunyonya ua Kufyonza (MVA) chungu?
- Je! Ni Madhara zipi za Utoaji mimba kwa Njia ya Kunyonya au Kufyonza (MVA)?
- Je! Utoaji Mimba ya Upasuaji ni Salama?
- Je! Kuna tofauti gani za umri wa ujauzito kwa kila Njia?
- Je! Utoaji wa Mimba kwa kusimika ni nini?
- Je! Upanuaji na ukwanguaji, (D&C) ni nini?
- Je! upanuaji na Kuondoa , (D&E) ni nini?
- Je! Njia ya Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki (EVA) ni nini?
- Je! Njia ya kunyonya au Kufyonza (MVA) ni nini?
- Ni Hatari gani Na Shida gani Zinazowezekana za Utoaji Mimba kwa Njia ya Kufyoza?
*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.